VMware
Dulla Makabila x Chudy – Peleka Gari (Official Music
Dulla Makabila x Chudy – Peleka Gari (Official Music Video)
#Dulla #Makabila #Chudy #Peleka #Gari #Official #Music
“Chudy love”
New Singeli Song From Dulla Makabila & Chudy #music #Singeli #musicvideo Copyright Β©2023 Umeke Bei Poa. All rights reserved.
source
To see the full content, share this page by clicking one of the buttons below |
ππππdreva na gari vimepishana kama Nini ete πππ
Dulla nakupenda ππππβ€β€β€β€unajua
π π ππdull dull dull manala na lushain
Sio Siri dulla makabila saivi nampenda sana
Huyu kaka kiboko
Kazi nzuriππ
#Dulla ujawai kufeli
Weeeeeeeeeeeeeeeeeπ₯π₯π₯π₯π₯
ππππ
Kwenye drip la damu tumepigwa na kitu kizito. π€£π€£π€£
Ila dulla mchokozi wewe jamani nimecheka kwa sauti
β€β€β€β€
pambana sana
Thanks dulla makabila for giving your messange
Piga kazi
Piga kazi
Duh hongera sana dulla nakukubari sana
Kiukweli sikuwahi kuipenda sengeli lakini huyu jamaa ni noma, hongera sana Makabila
dulla kujiita king of singeri haukosei
Sasa wew ndo umepshan sasa na so manara tena
namkubali san kak makabila anafundisha mala nying san watuπ
King of singeli #dullahmakabilla
Y
Y
Manara na rushayna ee saiv manara anakula mkeoo
Kwer 2acha bangi tukiw Barbaran nomasan brooo
We will be able to comeππβ€π’π’π’π’π
Kitu na box'yaan ya moto''
Huyu mwana chudy Anajua mnoo
Dulla Noma saana aisee π₯π₯π₯
Daaah ii nyimbo n balaa singeli afu story like true vile daaah bonge la Content nyie n balaaa King π of Contentπ
β€β€β€β€β€β€
Kwa hii singeli dulla anajua sana
Yaani huu wimbo sichoki kuuangalia
nice
Mbon muna taka manara asem jaman muachni mzee wa watu bad ana majoziπ€
Mbon muna taka manara asem jaman muachni mzee wa watu bad ana majoziπ€
Mbon muna taka manara asem jaman muachni mzee wa watu bad ana majoziπ€
Mimi napenda unapotoa nyimbo bila kuleta wanawake wakikata kata viuno tunashindwa hata kuangalia wala kusikiliza nyimbo zako 3 tu nimezifurahia ni hii na ile uliyosema ukipata pesa na ile ukitoa hukumu we malaya pita huku we mlevi pita hukuππ
Hapo ulipomtaja manara na Rushyna ngoja Manara akujibu kumbuka na mwenyewe umepishana na Zayππ
β€β€β€
Makabila Fundi San Huyu Jamaha Anajuwa Kuliko πππππππ
Enyewe wako vzur
Saw kaka ngoma nzuriiii sana
Kubali san dula makabila